"T-SHIRTS" ZA 'KiRAKA' na MICHORO MINGINE SASA ZINAPATIKANA @DAR Call +255 719 589020___ARUSHA Call +255 765 745874___NAIROBI Call +254 700 038938...ZINA UBORA ULIOMAKINIKA...KARIBUNI SANA

FULANA ZIKO TAYARI SASA...

Fulana (T-shirts) za michoro ya kisanii ziko tayari...
Zinapatikana Nairobi Dar na Arusha kwa sasa...
Kaelezo zaidi na mahali pa kuzipata, endelea kutembelea blog hii!

USIKURUPUKE

Take your time to make a right choice...!

DAVID & GOLIATH

David & Goliath__Wangapi mnaijua hii 'Bible story'?

SIKU YA CHOO DUNIANI...

Jana Jumatau 19/10/2012 ilikuwa siku ya choo Dunian. Je, watu hawa kuna lolote wanalotambua kuhusu usafi, matunzo, na umuhimu wa choo?